Hebrews 10:37-38

37 aKwa kuwa bado kitambo kidogo tu,

“Yeye ajaye atakuja wala hatakawia.
38 bLakini mwenye haki wangu
ataishi kwa imani.
Naye kama akisitasita,
sina furaha naye.”
Copyright information for SwhNEN